World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

sitashangaa kipindi cha 2 Honduras wakachomoa na kupata droo au hata wakashinda kabisa


Hilo halipo sanasana watabananishwa na maamuzi na kutupiwa mengine japo mawili au zaidi. kibendera wa kushoto

kwao na Refa hawako smart, hawa watu wawili wanafanya maamuzi yakimkakati zaidi.
 
Griezman dogo yuko vizuri sana.Giroud hakuna anachofanya uwanjani.
 
Yaani toka brazuca ianze kule kwa "wachumia tumbo"kume doooora!
 
sina chuki na RVP lakini hili lina kura yangu goli la mashindano!
 
Fifa na technology yao hiyo in question. Bora waweke Video Technology.
 
daaa goal technology imesaidia sana mpira umevuka mstari mara ya pili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…