World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hilo goli la pili hatari,sasa sijui goal keeper ndo kajifunga?
 
Sioni sababu ya watu kulumbana wakati mpira umevuka mstari mara ya pili.wanasoka hupenda ubishi hata penye teknolojia!ajabu.
 
Fifa na technology yao hiyo in question. Bora waweke Video Technology.
Hapana hakuna question.
Goli limeingia baada ya kugonga mwamba na kipa kauchukulia ndani na techology imeonesha.
 
Kwa Tech yeyote ni goli dhahiri rubaman

FIFA walisema mpira wote lazima uwe umevuka mstari, replay(ies) inaonyesha ni slice ya mpira upo over the line. Nasubiri siku tech itakapogoma kufanya kazi tuone FIFA watasema nini?
 
Kipa kajifunga, hivyo mpaka sasa benzema kafunga goli moja sio mawili
 
Honduras wamecheza kwa nguvu first half naona km wamesha tepeta kipindi hiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…