Naona hii goal technology na yenyewe inatuchanganya tu.
haichanganyi mkuu, goal technology ni nzuri sana, hilo goli la benzema bila hiyo technolojia refa angekua njiapanda. Na uwezekano wa kukataa ni mkubwa kuliko kuhalalisha goli ambalo hana uhakika nalo
