World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Naona hii goal technology na yenyewe inatuchanganya tu.

haichanganyi mkuu, goal technology ni nzuri sana, hilo goli la benzema bila hiyo technolojia refa angekua njiapanda. Na uwezekano wa kukataa ni mkubwa kuliko kuhalalisha goli ambalo hana uhakika nalo
 
goal.jpg

Goal!
 
Hahahahaha na atapagawa sana mtani.wangu. Jana alilikana bara lake, leo akajipa undugu na bara la watu.
Mtani nimekaribia kurudi bara langu naona huku kuna mkono wa mtu daa.

Lakini timu za africa zinaweza kukuuguza.
 
Benzemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hapana mpira umevuka na kipa kautolea ndani kama ume angalia replay ya pili. Wamejiandaa haiwezi goma.

Mkuu nimeangalia replay kama 3 hivi, sehemu kubwa(kama 80% kimuono wangu) ya mpira ndo ilivyokua mstari na sehemu nyingine ipo mstarini. Tatizo ni sheria FIFA walizoweka kuwa mpira mzima lazima uwe umevuka mstari ndo lihesabike goli. Kwa hiyo Honduras wana haki ya kuprotest kiaina kulinganisha na sheria ziliwekwa.
 
Benzema,naona anataka kufuata nyayo za Zidane,safi sana Benzema
 
Back
Top Bottom