World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

France poa sana kama USA basketball timu 90% wanyamwezi.
 
Bora Pogma wamemtoa ili wampreserve,asije akalamba red bure
 
FIFA walisema mpira wote lazima uwe umevuka mstari, replay(ies) inaonyesha ni slice ya mpira upo over the line. Nasubiri siku tech itakapogoma kufanya kazi tuone FIFA watasema nini?
Hapana mpira umevuka na kipa kautolea ndani kama ume angalia replay ya pili. Wamejiandaa haiwezi goma.
 
duuh goal kama lile la brazil ila ili limekaa kimalaa......yeeer
 
France kwa uchezaji huu hawafiki mbali.
 
FIFA walisema mpira wote lazima uwe umevuka mstari, replay(ies) inaonyesha ni slice ya mpira upo over the line. Nasubiri siku tech itakapogoma kufanya kazi tuone FIFA watasema nini?
ni Goli ila pia umesema Hivyo nimefikiria siinatakiwa mpira wote uwe umevuka chokaa!? Sawa na mstari unajaribu mpira usitoke nje ya uwanja Una keep in the ground game inaendelea na uhakika siku mpira ukipiga juu ya mwamba ikarudi chini ya chokaa basi itasema goal ile inasoma tumbo au Chogo la mpira ndio inasema goal.
 
FIFA walisema mpira wote lazima uwe umevuka mstari, replay(ies) inaonyesha ni slice ya mpira upo over the line. Nasubiri siku tech itakapogoma kufanya kazi tuone FIFA watasema nini?

wanaondoa ladha ya soka...inatakiwa tubishane mpk uswahilini....goli....sio goli....
 
Uswis anashinda hili kundi!France hawapati hata sare kwa Uswis
 
hii ni kumuibia benzema wazi...dah Fifa na teknolojia zao?....

Hapana baada ya kugonga mwamba mpira ulikuwa unarudi uwanjani katika curve flan vile, kipa kabla ya kuokoa kwa

hamaki aliubadlisha uelekeo kuenda ndani ya goli
kisha akavusha mkono juu yake na kuutowa kuuleta tena uwanjani.
 
Honduras wamecheza kwa nguvu first half naona km wamesha tepeta kipindi hiki

Aisee nipe niongee na ronaldo

Ronaldo how r u how is ze game

Naelekea uwanjani bana sijafika
 
France poa sana kama USA basketball timu 90% wanyamwezi.
Sababu France sport Yao kubwa ni Rugby wazungu na rafiki yangu France anasema wengi mpira wamiguu France wameanza kuchukia sababu ya black wengi ila sport ya taifa France ni Rugby ile 98 ndio imefanya wawe na mapenzi na football.
 
Rio mavuba ndani mtoto wa mwanampira wa taifa la Zaire ,Baba yake alicheza kombe la dunia enzi hizo
 
"It's definitely gone over the line, but we were here waiting for the technology. By the naked eye it didn't look like it had crossed the line at first.
"When the ball hits the post it comes back and is not over the line, but then it hits the goalkeeper and now it is. That's the moment when the ball goes over."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…