Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
hakuna mshabiki wa honduras humu jamani, au mpo uvunguni....... teh teh teh teh
Mtani umebeba mzizi?Benzema weeeeeeeeee
Nasikia Wenger yumo humu uwanjani?
Mtani umebeba mzizi?
wanaondoa ladha ya soka...inatakiwa tubishane mpk uswahilini....goli....sio goli....
Tupo mkuu tunagugumia maumivu.
Honduras ni vurugu tu hapa
HahahahahaHahahahhahaaaa najua kizuri, wewe unachagua mabomu kwanini yasikulipukie mtani?
Umenikumbusha enzi za kuangalia movie Drive-In Cinema tunaangalia wote tukirudi uswahilini tunaanza kuhadithiana na kubishana kitu tulichoangalia jana yake.
Eeeh benzema piga hat-tric niondoke na mchumba wa mtu hapa
Mtani umebeba mzizi?
la Penn sijui anaitwa? Mwanae Kama sikosei kashinda uchaguzi France, Europe ubaguzi upo EU itakuwa nchi za nje EU hawatakani. Pogba mkali kuna dogo under 11 barcelona jina nimesahau atakuwa Kama PogbaAlisema timu ya France imejaa weusi tu,ubaguzi mbaya jamani
Hat-tric bado goli LA pili ni own goal kipa kajifunga