duh hapa jenereta imekata mafuta, tupeni upadates wakuu
benzema mkali.
Bora hata France,Spain ni marufuku mweusi kwenye timu ya taifa,huwa wanaishangaa France kwa nini weusi ambao origin yao ni Africa ni wengila Penn sijui anaitwa? Mwanae Kama sikosei kashinda uchaguzi France, Europe ubaguzi upo EU itakuwa nchi za nje EU hawatakani. Pogba mkali kuna dogo under 11 barcelona jina nimesahau atakuwa Kama Pogba
Wangapi wataangalia Game ya Argentina!!!!!!
Wangapi wataangalia Game ya Argentina!!!!!!
Wangapi wataangalia Game ya Argentina!!!!!!
Wangapi wataangalia Game ya Argentina!!!!!!
Bora hata France,Spain ni marufuku mweusi kwenye timu ya taifa,huwa wanaishangaa France kwa nini weusi ambao origin yao ni Africa ni wengi
inaonyesha suala sio uweusi au uweupe ni ubinadamu kuweza kitu au kuamulia kitu enzi zakina Malcolm x na Martin weusi wengi wangekubaliwa Shule basi Wenye elimu wangekuwa zaidi Yao Weupe walizuia makusudi wawe wapumbavu, mpaka Leo kuna mijinga ya kizungu inafikiria Barack Hussein Obama ndio mweusi pekeee Marekani au Duniani mwenye akili sababu raisi wa USA! basketball best Jordan na Football best ni Pele japo nampenda maradona zaidi na Sports waliwachia sababu waliona sports za umasikini na ujinga Leo wanatamani watoto zao wacheze hii michezo kuliko kurusha ndege.Pazi, najiuliza watafanya nini siku Wafaransa weusi wakitawala Rugby? Marekani wenyewe si walikuwa na ubaguzi huu huu katika michezo yao miaka ya zamani, angalia ngozi gani inatawala Basketball, NFL, Baseball,Boxing, Riadha kama sio weusi. Na kuna weusi wapo katika NHL na michezo mingine ya barafu barafu kuna siku idadi itaongezeka. Wafaransa labda niseme Wazungu wa ulaya wakae mkao wa kula wasubiri siku wataona Weusi wanatesa katika michezo yao.
AUsipo angalia game hiyo ina maana UNAUKIMBIA MPIRA?Messi lzm nimuangalie
Hakuna kulala mkuu lazima tumcheki messi@team argentina
AUsipo angalia game hiyo ina maana UNAUKIMBIA MPIRA?Messi lzm nimuangalie
Huyo mmoja tu,baada ya huyo umeona mwingine?Spain wabaguzi no 1Dada Euro 2008 France waliongozwa na mweusi kama mido wao wa kudumu aliitwa Marcos Senna!Kwa sasa amestaafu na alicheza mechi zote kwenye ule ubingwa!
Marcos Senna alikuwa shujaa wa Spain Euro 2008 na pia timu yake ya Virarrell"Yellow submarine"
aisee mimi hapa yani ni ngumu sana kutokumuona messi akitupia angalau ata dakika 45
haya mwayaa ila saa 7 ndugu huo moyo wako ni mkunjufu kwa messi
Hakuna kulala mkuu lazima tumcheki messi@team argentina