World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Bulldog.....kalala...?sioni stats...
Kakimbia alisema last game 2-2 atakuwa kalala Mie ikishiisha game nipumzishe akili na mapigo ya moyo lasivyo itakuwa sawa na mtu kunywa pombe kibao bila kula then unalala asubuhi sana masaa ma tatu then unalalamika kichwa viungo ila maziwa hata glass moja mtu au kijiko cha asali kwa mara moja kwa mwezi mtu hataki ndio players wa taifa stars.
 
Diego Maradona dah utotoni mtu unasikia mpira kwa wakubwa jina nilikuwa naweza nisiwajue wote na kushangaa mtu vipi anawajua first 11 yote majina ila kwa Maradona nilimjua Huyu ni Diego Maradona Huyu mtu Argentina hata awe na Zero Balance kwenye Account basi nyumba yoyote anaweza kula bure hata Fidel Castro kamsaidia wakati wa matatizo yake, Argentina wameniuzi kumuacha Carlos Tevez.

Tevez ana sifa ya kuleta mzozo wa mara kwa mara kambini!Ameachwa sio sababu hajui kutumbukiza kambani bali sababu ya utulivu wa kambini!
 
Kakimbia alisema last game 2-2 atakuwa kalala Mie ikishiisha game nipumzishe akili na mapigo ya moyo lasivyo itakuwa sawa na mtu kunywa pombe kibao bila kula then unalala asubuhi sana masaa ma tatu then unalalamika kichwa viungo ila maziwa hata glass moja mtu au kijiko cha asali kwa mara moja kwa mwezi mtu hataki ndio players wa taifa stars.
Alafu ana mategemeo atafika levo ya kina Messi.....
 
Mimi ndio maana siwaamini Waafrica wenzangu maana wao wana tegemea waganga badala ya kucheza mpira. Sasa angalia Wanavyo pata pressure Ronaldo kapona.
#teamhondurus
Cc Bantu lady , TATIANA Katavi, Mourinho.

Dunia imekua kijiji Mkuu, mimi hata Mtanzania mwenzangu simuamini, nachagua team kutokana na uwezo wao na si rangi au sehemu (geographical) wanayotokea, ndio maana team yangu ni Italia
 
Last edited by a moderator:
match inayofuatia nashukuru sina timu.bora nitaangalia mpira kwa raha mstarehe
 
Back
Top Bottom