Utakuwa wapi Mpaka usiangalie!saa 7 loooh
Huyo mmoja tu,baada ya huyo umeona mwingine?Spain wabaguzi no 1
AUsipo angalia game hiyo ina maana UNAUKIMBIA MPIRA?Messi lzm nimuangalie
Lzm tuvumilie tuangalie mpira!!
Huku kuna Messi kule kuna Dzeko,game tamu sana hii nakuhakikishia!!
Uswis anashinda hili kundi!France hawapati hata sare kwa Uswis
Ilibaki kidogo niondoke na mchumba wa mtu
All in all thanks #France pesa yangu ya bet imerudi
Hongereni sana #teamFrance
haya mwayaa ila saa 7 ndugu huo moyo wako ni mkunjufu kwa messi
Team Argentina
Team Lionel Andres Messi
huyu ndie Mfalme wa Mpira kipindi hiki, kizazi tumebahatika kumuona Messi
inaonyesha suala sio uweusi au
uweupe ni ubinadamu kuweza kitu au kuamulia kitu enzi zakina Malcolm x
na Martin weusi wengi wangekubaliwa Shule basi Wenye elimu wangekuwa
zaidi Yao Weupe walizuia makusudi wawe wapumbavu, mpaka Leo kuna mijinga
ya kizungu inafikiria Barack Hussein Obama ndio mweusi pekeee Marekani
au Duniani mwenye akili sababu raisi wa USA! basketball best Jordan na
Football best ni Pele japo nampenda maradona zaidi na Sports waliwachia
sababu waliona sports za umasikini na ujinga Leo wanatamani watoto zao
wacheze hii michezo kuliko kurusha ndege.
Lzm tuvumilie tuangalie mpira!!
Huku kuna Messi kule kuna Dzeko,game tamu sana hii nakuhakikishia!!
Tevez Katemwa hayupo.umemsahau di mario katikati, tevez na marcherano TEAM argentina