match inayofuatia nashukuru sina timu.bora nitaangalia mpira kwa raha mstarehe
Leo ni France,kesho ni Germany,Ghana na Nigeriawewe Team gani kwani!
Naam....team za kazi zote hizi.....km una hela weka dau bila wasi!Leo ni France,kesho ni Germany,Ghana na Nigeria
Leo ni France,kesho ni Germany,Ghana na Nigeria
Argentina XI : Romero; Rojo, Garay, Campagnaro, Zabaleta; Mascherano, Di Maria, Messi, Rodriguez, Fernandez, Aguero
kwahiyo Team yako hasa ni ipi!
Au "Mlupo" haupendi...?maana hela sawa wengi tunaweza kuweka...lkn "usingizi" wako unauweka rehani...?
It does not matter today scoreline!Hawa wawili ndiyo watapita kundi hili,Iran na Nigeria hamna kitu
....Na ni kwa sababu ya Messi tuu.mechi hii itakuwa na wapenzi wengi wa Argentina hapa