World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Ahaa namwona mkongwe Ryan Giggs ndani ya uchambuzi hapa.
 
Leo germany anakaa
12' Cr7


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Germany wana dharau balaa naskia eti walijenga hotel yao ya kufikia brazil!eti hawaoni inayowafaa mhh
 
Hata kazi HAZIFANYIKI leo,baada ya game ndiyo naweza fanya kazi maana kama najidanganya kuwa nifanye kazi huku Germany vs Portugal wanacheza ni kujidanganya tu na nitaharibu!

CR7 kama yupo fit atawasumbua sana
 
Sitaki presha miye, kwenye mechi hii sina team. Nitaangalia mpira kwa raha.
 
Sitaki preaha miye, kwenye mechi hii sina team. Nitaangalia mpira kwa raha.
Wacha kaujanja chako basi fanya draw kwako unatizama Art of football Kama wengine ikicheza Barca na Real Madrid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…