Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Danke schon!Tupo pamoja sanaHaya haya wadau wa brazuka ndani ya nyumba hapa ni TeamGermany nawasihi tuwe sote mpaka mwisho.
Germany ni moja kati ya timu ambazo nazitabiria ubingwa.
Kawaida yangu nikishatangaza naangalia gemu hua nakuwepo mpaka dakika zote 95 zinamalizika.
Germany ni moja kati ya timu ambazo nazitabiria ubingwa.
Mimi sio #TeamPortugal lakini naishabikia kwa leo maana siipend ujerumani.
Germany wana dharau balaa naskia eti walijenga hotel yao ya kufikia brazil!eti hawaoni inayowafaa mhh
#TeamGermany . 3-1 Ronald asipoangalia worldcup itamuhusu record ya goal Kuwa C Ronald 2 Messi 2 Wayne Rooney 0 Papa Boupa Dioup wa Senegal kawazidi 3.#TeamPortugal tujuane
Germany wana dharau balaa naskia eti walijenga hotel yao ya kufikia brazil!eti hawaoni inayowafaa mhh
Wacha kaujanja chako basi fanya draw kwako unatizama Art of football Kama wengine ikicheza Barca na Real Madrid.Sitaki preaha miye, kwenye mechi hii sina team. Nitaangalia mpira kwa raha.