Itakuwa watangazaji wa TBC wamesema sio Penalt au Chenga za TV.jamani hivi mnaangalia gemu kweli nyie au?
TATIANA na Bantu lady leo mmelala?
jamani hivi mnaangalia gemu kweli nyie au?
Hawa wanapenda wakituona sie weusi tukicheza usiwalaumu leo.
Hawa Germany nilidhani wanatisha sana,mpaka sasa sijaona wa kufikia kiwango cha Netheland
Wewe ni mwenzangu, #teamneutral , hawa wakoloni sioni hata wa kumshabikia
Itakuwa watangazaji wa TBC wamesema sio Penalt au Chenga za TV.
Halafu jamaa anajiangusha,akiangalia kwa refa kimya hakuna cha faulo wala nini,anabakia kununa tuHakuna cha christian wala cha ronado.. ule ule german