World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Nimemuona Mukulu wa Ujeruman Angela,sasa sijui na Obama atakuwepo kwenye match ya USA na Ghana,mmmmmh
 
jamani hivi mnaangalia gemu kweli nyie au?

hahahahah afadhali umewaambia ukweli. Ile kwa lugha ya wenzetu wanaita "A cynical offense in which a player deliberately balks or fells an opponent who is advancing on goal is termed as professional foul"
 
christiano kajipodoa kinyama daah ingekua kibongo bongo wangeanza kusema ana tabia km za ben kinyaia...
 
BqQ7q02IYAACjOz.jpg
 
Hawa Germany nilidhani wanatisha sana,mpaka sasa sijaona wa kufikia kiwango cha Netheland

Viol...Germany km ww anasema if second calculation is wrong,..........hawa wana utaalamu wa kukulazimisha ucheze game wanayotaka wao....na hapo unakuwa controlled
 
_75570322_67da7852-2da4-40fa-a935-6fd8cb5cfe9a.jpg


Cool as a cucumber from Thomas Muller. The Germany forward, socks rolled down, strolls up to the ball and rolls it into Rui Patricio's bottom right corner. That's how you take a World Cup penalty.
 
Sijui kama wachezaji wa kibongo wana take time kujifunza vitu vipya kwenye hizi game au wako bize na ngono.
 
Back
Top Bottom