Yaani ile mi nywele hadi unatamani uinyoe kwa chupa
Kwani yupo uwanjani?
Mna roho Ngumu!
PEPE bora awe na Panya Road au Mbwa Mwitu wale vijana wa Streets bongo ndio wanafanya.na naona leo bange zake zimepanda mapema kweli....
Kila sio kichwa mkuu,ni nywele na nywele zimegusana tu!Referee majanga toka awaliPepe majanga,kile kichwa hakikuwa na sababu kabisa.
Kamtangazeeeee
Natabir 3-2 portugal tunashinda
PEPE OUT, Red card
Kaleta sifa za kijinga sasa ona anakosa mechi tatu.