Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa pepe anatemea watu mate, na wapigwe tu
![]()
Camel kachemsha hii game.
anafaana Kuwa na wale watoto Panya road sasa Klose atapata kuja kipindi cha pili kuvunja rekodi.Pepe ana tabia mbaya kaniudhi sana,yule mjerumani anajiheshimu sana angekuwa Zidane hapo pasingetosha
Hawa ndo wanajua umuhimu wa soccer kuleta international pride
Mtani leo huko German?Acha akaangalie kwenye TV kama sisi.
Pole kwa kujipa matumaini yasiyokuwepo....Ila tunashinda tu
3-0 kama tmk. Mulleeeer!
sio jk analeta uzalendo wa kisanii....