World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

BqRQ037CMAE3Vzo.png
 
Mechi inayofuata Line ups

Line up ya Nigeria to face Iran
i Enyeama (c), Ambrose, Oshaniwa, Oboabona, Omeruo, Mikel, Onazi, Azeez, Musa, Moses, Emenike.

Iran Team to Face Nigeria Haghighi, Heydari, Haji Safi, Hosseini, Sadeghi, Nekounam (c), Timotian, Montazeri, Ghoochannejad, Dejagah, Pooladi.

#TeamNyuklia tujuane hapa
 
Uki waambia hilo swala hawataki kukubali km jk angekua na vision angejaribu kushinikiza kuundaa vijna wadogo kuunda kikosi cha timu ya taifa tangu 2005 mpaka leo nadhani tungekua na vijana waliolelewa kisoka na wangekua wakali sana,miaka 9 ni mingi sana kukuza wachezaji..

Copa cocacola ni kupoteza muda tu
 
Wareno wana kazi ngumu kweli. Mzigo wa lawama atabebeshwa Pepe. German wamepata kwa kuwa wamecheza vizuri. Cristiano nadhani hayupo fit 100%,...
 
Nafikiri hawa ujerumani wamekuja kulichukua hili kombe safari hii, maana huu moto wao si mchezo.
 
hairuhusiwi...

Sio kila kosa ni la kutoa red card...pepe hajampiga kichwa muller, amemzonga akitishia kumpiga kichwa kosa ambalo angepewa yellow card tu...
Na muller baada ya kuzongwa amejiangusha as if amepigwa kichwa kweli..

Ladha ya game imepotea...

tuma salamu kwa watu watatu
 
Jamani mmesikia huko lamu eti hata watu waliokuwa wanaangalia mpira wameuliwa.tuwe makini kipindi hiki
 
😛eace:kwa UJERUMANI
rangi ya bendera yao wanasema sio njaro ila ni rangi ya dhahabu,Mkoloni amewakandamiza hao jamaa bila huruma
 
Yaani huu mpira ipo siku watakitana na wajanja wao na watafungwa hadi walie
 
Back
Top Bottom