Own goals ndio mchezaje wa tim gani?2014 World Cup Top-Scorers:
1: Thomas Muller: 3
1: Own- Goals: 3
2: Robin van Persie: 2
Neymar:
Karim Benzema: 2
Arjen Robben: 2
Uki waambia hilo swala hawataki kukubali km jk angekua na vision angejaribu kushinikiza kuundaa vijna wadogo kuunda kikosi cha timu ya taifa tangu 2005 mpaka leo nadhani tungekua na vijana waliolelewa kisoka na wangekua wakali sana,miaka 9 ni mingi sana kukuza wachezaji..
Hii ni chungu sana kumeza aisee, yaani 4 hivi hivi?
Daah haya bana mie nataka Brazil vs Germany Brazil ashinde
unakuwa kama wanachama tlp! Mrema akihama wanahama nae! Teh teh teh
Nafikiri hawa ujerumani wamekuja kulichukua hili kombe safari hii, maana huu moto wao si mchezo.
Uwiiìiiii mara hii 3 !!!? Asante sana
Germany ni moja kati ya timu ambazo nazitabiria ubingwa.
hairuhusiwi...
Sio kila kosa ni la kutoa red card...pepe hajampiga kichwa muller, amemzonga akitishia kumpiga kichwa kosa ambalo angepewa yellow card tu...
Na muller baada ya kuzongwa amejiangusha as if amepigwa kichwa kweli..
Ladha ya game imepotea...
Mechi inayofuata Line ups
Line up ya Nigeria to face Irani Enyeama (c), Ambrose, Oshaniwa, Oboabona, Omeruo, Mikel, Onazi, Azeez, Musa, Moses, Emenike.
Iran Team to Face Nigeria Haghighi, Heydari, Haji Safi, Hosseini, Sadeghi, Nekounam (c), Timotian, Montazeri, Ghoochannejad, Dejagah, Pooladi.
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=teamnyuklia]#teamnyuklia [/URL] tujuane hapa