Iran anashinda 2-1
Haahahaha mkuu nimekubaliMkuu si ukubali kuwa umeshindwa! Nilikwambia mapema sana ukatia mkwara wakati unajua mpira hudunda hata kama una cr7!
kani wao ni wapemba..Kumbe wimbo wa taifa wa Iran siyo taarab!!
Haya, tujuane mapema, tim nyeusi au tim maboya