Gemu nzuriGemu limechangamka kuliko la wajukuu wa hitler na ureno!
Niliangalia video yao,kulikuwa na Rashid Yekin sijui,wengine siwakumbuki ilikuwa hatarinigeria haitapata tena timu yenye akili na nguvu kama ile ya 94.
Mtani Nigeria wana nifurahisha sanAMaajabu haya mtani, nahisi kuna mtu amehack account yako hapa. Leo unashabikia timu ya Afrika? tunaweza fungwa bana kwaajili yako, baki Iran tu.
Nenda kaverify mkuu
Kila la kheri the eagles,Mungu ibariki Africa,Mungu ibariki Nigeria,Mungu ibariki Tanzania angalay na sisi siku moja tushiriki finaly za kombe la dunia.
Hapa wengi ni waIbo,ni hardworking wao wanapenda faranga tu na wanajua kuitafuta,sio hausa huko bokoharamuHawa almost wote wanatoka Southern Nigeria (siyo Boko Haram) .. nimeona walikuwa wanakemea mapepo kabla mechi haijaanza!
Ndugu yangu waliniuzi cameroun hadi nikahisi labda kwa kuwa naangalia Tbc ilibidi nihamie kwenye super sports kumbe tatizo halikuwa Tv bwana. Yaani angalau hawa Nigeria
Hahahahaaah.......kama kawaida yako kuhangaika.Wamekoswa koswa hapa Nigeria, kwa hakika wamezidiwa sana
sio oman mkuu?
Kulikoni mbona wazungu wanashabikia Nigeria?
weka picha.....ball possession
ira 70% nga 30%