World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Maajabu haya mtani, nahisi kuna mtu amehack account yako hapa. Leo unashabikia timu ya Afrika? tunaweza fungwa bana kwaajili yako, baki Iran tu.
Mtani Nigeria wana nifurahisha sanA
 
Kila la kheri the eagles,Mungu ibariki Africa,Mungu ibariki Nigeria,Mungu ibariki Tanzania angalay na sisi siku moja tushiriki finaly za kombe la dunia.

Tanzania kushiriki kombe la dunia mpaka tuwe wemyeji wa shindano hili
 
Hawa almost wote wanatoka Southern Nigeria (siyo Boko Haram) .. nimeona walikuwa wanakemea mapepo kabla mechi haijaanza!
Hapa wengi ni waIbo,ni hardworking wao wanapenda faranga tu na wanajua kuitafuta,sio hausa huko bokoharamu
 
Nigeria uzi wao upo poa tatizo kwenye rangi unaweza kufikiri ni ndugu zetu wa green network aka ccm!
 
Back
Top Bottom