World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Tumpate wapi Kanu wa leo, wapi Sunday Olise wa leo? Wapi JJ Okocha wa leo???????
 
Free kick gani hii, Mnigeria ka win a ball wala sioni kosa hapa
 
Hawa naijeria wakaigize tu filamu na kuimba mziki pamoja na kupiga ndumba, lakini Mpira hawawezi hawa.
 
Hivi hawa jamaa wana mgomo wa kufunga au?
Bora kulala...nimeshindwa kuushawishi usingizi....
 
Idadi ya watu waliopo uwanjani 38081,kwa kisio ni wachache.
Hivi uwanja wetu unachukua watu wangapi?
 
Afrika tuna safari ndefu kimpira kumbe hata Taifa stars tusiwe tunawalaumu tu. Tofauti ni ndogo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…