Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nigeria watajutia hzo nafasi wanazo chezea ngoja warukeruke huku ktk timu za africa wao ndo wpo kundi lenye uhafadhali
Ila mimi naona makosa mengi ni ya kocha.
...hawajafundishwa ku attack
Tumpate wapi Kanu wa leo, wapi Sunday Olise wa leo? Wapi JJ Okocha wa leo???????
Yani hawa wanigeria kama taifa stars!
Hahaha wewe kuna kombe una angalisi hiLiGooooooo....noooo Iran wameamka vilivyo..chochote kinaweza kutokea...