Jordan na Andre Ayew,nakesha nikiamini mtawafunga USA,mkifungwa sitaangalia tena mechi zenu
Hahahaa....nacheka kwa kujilazimisha tu lakini hizi timu zinatia hasira Sana.
Ngoja tuone Ghana nao!
I hope so,yaani ndo hawa tumebakiza,Africa nzima tupo nyuma yaoNampenda Ayew...washinde tu
I hope so,yaani ndo hawa tumebakiza,Africa nzima tupo nyuma yao
Ghana ya 2010 ilikua team ya kiume haswaaa, sidhani kama watakua na ubora kama ule lakini hii ndio team pekee ya Africa ambayo najua itacheza kwa moyo wote na kujitolea kila kitu uwanjani.
#TeamGhana #GoGhanaGo
Mtani bado umelala? Leo niko Ghana.[/QUO
Majanga tayari