World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

10463001_448357125301755_5282338292085331947_n.jpg
 
Hahahaa....nacheka kwa kujilazimisha tu lakini hizi timu zinatia hasira Sana.

Mimi nitamtafuta Kitoabu ndio kanishawishi kushabikia hawa mercenaries akisema ni wazalendo.tangu lini mercenary akawa mzalendo?ngoja silali leo nawatazama na hawa Ghana,wakileta umercenary kitoabu jiandae.
 
Last edited by a moderator:
Go Ghana go!teach Nigerians a lesson..ah huu wimbo wa taifa wa U.S naupenda ta ta raa raa raa raa,ta ta raa raa raa raa..ila tunawapiga tu.
 
Back
Top Bottom