juve2012
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 3,343
- 2,040
Ghana ya 2010 ilikua team ya kiume haswaaa, sidhani kama watakua na ubora kama ule lakini hii ndio team pekee ya Africa ambayo najua itacheza kwa moyo wote na kujitolea kila kitu uwanjani.
#TeamGhana #GoGhanaGo
Yes,hawa huwa hawana yale majivuno ya kiafrica.ndio maana nimeamua kuacha usingizi wangu niwatazame.wakifungwa ujue wamezidiwa.halafu kuna buluda mwenzetu humu.hivyo nina maslahi na Ghana.