World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Ghana ya 2010 ilikua team ya kiume haswaaa, sidhani kama watakua na ubora kama ule lakini hii ndio team pekee ya Africa ambayo najua itacheza kwa moyo wote na kujitolea kila kitu uwanjani.
#TeamGhana #GoGhanaGo

Yes,hawa huwa hawana yale majivuno ya kiafrica.ndio maana nimeamua kuacha usingizi wangu niwatazame.wakifungwa ujue wamezidiwa.halafu kuna buluda mwenzetu humu.hivyo nina maslahi na Ghana.
 
Ghana wanacheza vizuri kuliko Waafrika wote waliotangulia hadi sasa..Come on Ghana
 
Aisee kuna timu za kusemea,ila huyu Manager Klinsman atakuwa kawakoach vizuri sana hawa USA,ukichanganya na ile hasira ya kutolewa na Ghana kule South,basi leo kazi ni moja tu ushindi

Goal za mwanzoni ni mbaya lakini kwa upande mwingine litawafanya vijana wawe macho muda wote, walitafute goli la mmarekani muda wote, bado tuna wazoefu kwenye bench, Essien, Boateng na yule kiungo wa Udinese(ninemsahau jina, juve2012 msaada) have faith
 
Last edited by a moderator:
Na ubinafsi pia wa kutaka kuonekana ili apate ajira majuu. Ghana wana timu nzuri wakitulia wanaweza kushinda game hii.
Nina imani Essien angecheza leo wasingefungwa bao la kijinga namna hii.
 
Reactions: BAK
Wakuu mnaona muziki huo?Howard ana kibarua leo!hii kweli mutoto ya Africa bhana,i can see that in their faces..Asamoaaah uuuu!Jordan offside
 
Alleast Ghana they show us something ila naona kama tumebanwana wasaidizi wao wa kizungu
 
Jimmy Fallon sijui atasema nini USA ikishinda jinsi alivyoidhaulisha dhidi ya Ghana
 
US wanapiga deadly counter attacks.mechi imechangamka.sijapoteza usingizi wangu bure
 
Wamarekani wetu hawa. Altidore kaumiza Hamstring, he's out. Wanapoteza subs mapemaaaaaa. Come on Ghanaaaaaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…