World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kama kawaida, Afrika inaendelea kuweka rekodi za ajabu ajabu. So far msimu huu wa WC 2014 tuna rekodi mbili
  1. Goalless draw - Nigeria
  2. Kufungwa Fastest goal - Ghana
 
Hali ngumu mpendwa,hapo wameshavurugwa kisaikolojia,kurudisha na kushinda itakuwa ngumu

Dada naona unaushuhudia muziki.Saikolojia ya Ghana ni tofauti.they remind me of El Hadji Diouf and co.
 
Duh.. Joe Biden katumwa na WH kuangalia mpira?!
 
Kadi ya nini pale? 50-50 ball ile...Huyu refa vipi mbona anakimbilia kutoa kadi?
 
Wallahi mtu atakayekanyaga mguu wa Kwado Asamoah nampandia ndege!wamezidiwa hawa wamarekani wameanza plan b,wanafikiri "black ops" hizi..Asamoaaah leo Howard akitoka hapa mikono anakwenda kuitia asali!
 
Hawa wanyantuzu watakuwa wanatumia ugali wa magimbi tu wako njemaje??
Sijawahi onaga.
 
Mjue referee wa mechi Jonas Eriksson.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…