World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Duh! Ghana come on!!! Tunawategemeeni!! Make us happy!!!
 
Ghana wanacheza vyema hata ureno wana mfunga.
 
Hebu niulize hivi mbona timu zetu wachezaji hawana mbio na maamuzi ya haraka tatizo ni lile lile hata kwa ghana mbio hamna kabisa hawa wakija kwetu mara 3 tunalia
 
Naona wamarekani wanastuka hamstrings tu,hii inaelezea wanachokutana nacho uwanjani.ngoja tuone kuanzia dk ya 70 itakuwaje,labda wafunge la pili.
 
Mambo magumu hapo, US wamekamia kama siyo wao.
Nachokiona hapa Ghana walijiamini sana dhidi ya US, wakawachukulia powa.
Nao US wakajiandaa sana, wakijua itakuwa mechi ngumu kwao.
Matokeo yake ndio haya.
 
Ghana pasi za mwisho hazina mwelekeo .... wanajitahid kukaa na mpira
 
Ghana wanatawala mpira lakini hawana mipango mizuri golini. USA wamezidiwa lakini wakifika golini hawana ule ujinga wa timu za Africa.
 
Ghana ndo tegemeo letu Afrika msituangusha vs wala burgers hawa.
 
sioni HOW GHANA IS GOING TO SCORE!!!

Wamarekani wote wamerudi nyuma, Ghana wanaharibu sana kwenye pass za mwisho wanamuhitaji mtu kama Boateng akacheze no10., halafu Essien na Badu wakakamate ile kiungo
 
USA walikuwa hawajui football kabisa, juhudi yao imewasaidia kujua soccer kila wakija wanakuja kivingine,wakiendelea hivi watakuja kufika hadi semi final.
 
Wamarekani wote wamerudi nyuma, Ghana wanaharibu sana kwenye pass za mwisho wanamuhitaji mtu kama Boateng akacheze no10., halafu Essien na Badu wakakamate ile kiungo

bado haitakuwa poa kwao kwani mbele hamna kitu..
 
Huyu Ayew mdogo kwa kweli asirudi kipindi cha pili, anakosaje golden chance ile? Kocha wa Ghana asijifanye anawabana majina makubwa, hii ndio match yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…