World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Better team ndo imefungwa kwa lack of concentrations.

Wapuuzi tu Ghana mkuu hawana strategy yyt ile wakivuka upande wa 2 wa adui!Hawastahili kuingia round ya pili!

Tegemeo letu sasa ni Ivory Coast tu maana Algeria yupo na Belgium na Russia!

Ni rahisi kwa ngamia kupita tundu la sindano kuliko Algeria kupita kundi lake
 
Kati ya timu za Afrika nimependezeshwa na Ghana, hata kama haitosonga mbele... Marekani na wenyewe hatusongi mbele.
 
Basi tena hakuna jinsi tukubali hali halisi
 
Waafrika kwenye kufunga magoli bado sana.Ghana walitakiwa washinde kabisa hii mechi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wamarekani kweli walikamia kulipiza kisasi, wanavyoshangilia utadhani wamevuka to next round. Watagongwa mechi zote zilizobaki na ujerumani na ureno..
 
:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:

Hi haterssssssssssssssssssss
 
Kati ya timu za Afrika nimependezeshwa na Ghana, hata kama haitosonga mbele... Marekani na wenyewe hatusongi mbele.
Ghana ni timu ya ushindani ila basi ni mambo ya mpira, hata hivyo heshima kwao pamoja na kupoteza nafasi nyingi ila mpira wamecheza wa kiwango.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom