Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
seriously???!!
Kabisaa mi nilisema hii mechi hata tukibahatisha ka draw tutakuwa tumewaonea marekani
Unakesha usiku kucha halafu unafungwa.
Because you you...
Better team ndo imefungwa kwa lack of concentrations.
Me do what????
Ghana ni timu ya ushindani ila basi ni mambo ya mpira, hata hivyo heshima kwao pamoja na kupoteza nafasi nyingi ila mpira wamecheza wa kiwango.Kati ya timu za Afrika nimependezeshwa na Ghana, hata kama haitosonga mbele... Marekani na wenyewe hatusongi mbele.