Mkuu nadhani ilikuwa ni mwaka 1982
Eeeeeh Mola wetu, kwanini kila siku kilio ni Africa tu? Ni dhambi ipi mbaya tuliokukosea hadi majanga yote haya yanatufika? Umasikini ni sisi, vita, magonjwa, ujinga, ni sisi haijatosha hadi kwenye mpira sisi ni wa kushindwa, Tuhurumie Mungu wetu kwani tutaendelea kutawaliwa na wazungu hadi lini...
Too sad
Dah! Hujakosea kabisa! Uwa namwambia Mphamvu kuwa Abajalo ni timu ya wavuta bange na wakabaji wa Sinza Makaburini na kwa Remmy! Pepe ndiye mfano wao halisi.
Ndiyo mwisho wa safari.
Kama kawaida yetu lack of concentration, mwanzoni mwa mchezo na mwishoni pale mnapofkiria kuwa mechi inaisha kwa draw au ushindi.Haya ni matatizo ya kimsingi, sababu mafunzo ya soka kwa wachezaji wetu wanayapata wakishakuwa vijeba tofauti na wengine hata kama wana vipaji vya soka.
Mwisho, kuogopa majina makubwa hata kama peformances zao zimeshuka, GYAN, ESSIEN, PRINCE BOATENG.
Mwisho kabisa bado tunawahitaji wazungu kutuongoza kwenye benchi la ufundi, wala siyo suala la utumwa wala ukoloni mambo leo, sembuse Wamarekani waliomchukua Clinsman Mjerumani, leo tumeyaona ya Keshi wa Nigeria na Appiah wa Ghana.
Hii mambo ya kufungwa tumefugwa lakini chenga twawala haitakiwi tena kwenye karne hii
Mkuu kati ya timu za africa..algeroa ndo timu pekee yenye wachezaji na sio wacheza ngoma waliopita...tangu mwanzo africa mimi ni #team algeria#..Nawaamini sana Desert Fox!Ingawaje leo likely watafungwa na Belgium lkn naamini Algeria watapita round ya pili
Hii balaa sijui kwanini tumekesha, bora tungelala.
Nakweli hatuna la maana
Nigeria - kachemka ndiyo mwenyekundi rahisi
Ghana - mechi hii ndo yenye uafadhali kayeyuka
Cameroon- Balaaa
Hao Ivory cost siwaamini, wanatumia nguvu sana wakikutana na wanjana redi kadi zitawamaliza
Hakika stil Africa a continent of Darkness???? lets wait!!!!!
mexico anakufa tena za kutosha...
AFCON ilikuwa mwaka 1980 NIGERIA. Kizazi cha akina Juma Pondamali, Jellah Mtagwa, Leodgar Chenga, Adolf Richard, Sunday Manara, Kibadeni na wengineo.
Ngoja tuwasubiri Binamu zetu Algeria,hawa subsaharan ni majanga tu sijui tumerogwa?
hahaha miss chagga umenichekesha sana na hayo maswali yako daaa!