World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

10478131_900974329918415_6851921579061975860_n.jpg



10404087_900974273251754_5298869287742867128_n.jpg



10385472_900974209918427_4184076084502271964_n.jpg




10259834_900974226585092_2276424564704249510_n.jpg



10492057_900974216585093_8013840069695792063_n.jpg



10349222_900974196585095_5660003210717507874_n.jpg



10415657_900974199918428_3008378202618698862_n.jpg



10454534_900974203251761_4796582218310160401_n.jpg
 
Eeeeeh Mola wetu, kwanini kila siku kilio ni Africa tu? Ni dhambi ipi mbaya tuliokukosea hadi majanga yote haya yanatufika? Umasikini ni sisi, vita, magonjwa, ujinga, ni sisi haijatosha hadi kwenye mpira sisi ni wa kushindwa, Tuhurumie Mungu wetu kwani tutaendelea kutawaliwa na wazungu hadi lini...

Too sad

Unamuomba mungu wa wapi?
Yaan mungu wa wazungu ndo ate uje ukusaidia wewe badala ya wanawe wazungu?
Tumejitia laana wenyewe.
 
Dah! Hujakosea kabisa! Uwa namwambia Mphamvu kuwa Abajalo ni timu ya wavuta bange na wakabaji wa Sinza Makaburini na kwa Remmy! Pepe ndiye mfano wao halisi.

Abajalo? Usiitaje bana, yule JF Member wa kujifanya anapenda sana AC Milan wakati weusi kama yeye wanarushiwa ndizi Italia atakutoa macho...
 
Last edited by a moderator:
Boateng ndiye ameshuka kiwango, Essien hakuwa tu fiti kwa mechi ya leo. Asamoah Gyan umemtaja kwa kuwa amekujia tu mdomoni, alicheza kwa kiwango cha juu sana.
Ndiyo mwisho wa safari.

Kama kawaida yetu lack of concentration, mwanzoni mwa mchezo na mwishoni pale mnapofkiria kuwa mechi inaisha kwa draw au ushindi.Haya ni matatizo ya kimsingi, sababu mafunzo ya soka kwa wachezaji wetu wanayapata wakishakuwa vijeba tofauti na wengine hata kama wana vipaji vya soka.

Mwisho, kuogopa majina makubwa hata kama peformances zao zimeshuka, GYAN, ESSIEN, PRINCE BOATENG.

Mwisho kabisa bado tunawahitaji wazungu kutuongoza kwenye benchi la ufundi, wala siyo suala la utumwa wala ukoloni mambo leo, sembuse Wamarekani waliomchukua Clinsman Mjerumani, leo tumeyaona ya Keshi wa Nigeria na Appiah wa Ghana.

Hii mambo ya kufungwa tumefugwa lakini chenga twawala haitakiwi tena kwenye karne hii
 
Yote tisa, mganga wa Ghana nimemkubali kwa jinsi alivyowatia majeraha leo.
Kaanza na Atildore, akaja na Dempsey afu akamaliza na yule beko no. 11... Tulishindwa wenyewe tu kukamilisha tambiko.
 
Nawaamini sana Desert Fox!Ingawaje leo likely watafungwa na Belgium lkn naamini Algeria watapita round ya pili
 
Kwa kiwango kile cha Nigeria nina uhakika mechi ijayo Dzeko anaondoka na mpira wake kwa kupiga hat trick rahisi kabisa
 
Nawaamini sana Desert Fox!Ingawaje leo likely watafungwa na Belgium lkn naamini Algeria watapita round ya pili
Mkuu kati ya timu za africa..algeroa ndo timu pekee yenye wachezaji na sio wacheza ngoma waliopita...tangu mwanzo africa mimi ni #team algeria#..
 
Ikiwa siku ya leo timu ya brazil inategemea kukutana na mexico....mchezo huu , na vipi kuhusu viwango vya mpira vya timu hizi...kila timu ina point tatu ikiwa

1.brazil...ina pointi tatu na mexico ina point tatu ...na brazil inaaongoza kundi

mechii hii inatarajiwa kucheza muda wa saa nne...usiku
 
Ngoja tuwasubiri Binamu zetu Algeria,hawa subsaharan ni majanga tu sijui tumerogwa?
 
Hii balaa sijui kwanini tumekesha, bora tungelala.

Nakweli hatuna la maana

Nigeria - kachemka ndiyo mwenyekundi rahisi

Ghana - mechi hii ndo yenye uafadhali kayeyuka

Cameroon- Balaaa

Hao Ivory cost siwaamini, wanatumia nguvu sana wakikutana na wanjana redi kadi zitawamaliza

Hakika stil Africa a continent of Darkness???? lets wait!!!!!

mi bora niliamua kulala mapema tu,africa tuna safari ndefu sana yani tangu kuumbwa kwa dunia hatuja wahi hata kuvaa medal za mshindi wa pili kwenye wed kapu.daah poor africa.
 
AFCON ilikuwa mwaka 1980 NIGERIA. Kizazi cha akina Juma Pondamali, Jellah Mtagwa, Leodgar Chenga, Adolf Richard, Sunday Manara, Kibadeni na wengineo.

nikikutana na wa-nigeria wazee, nikiwaambia natoka TZ wananiulizia Juma Pondamali anaendeleaje.
 
USA siku ikifika final wataweza leta watu kibao kuja angalia mechi yao
 
Kijana muller,ozil,looooooo!!!!!!!! Ya jana yaache tu,bao 4 hivi hivi hawa vijana germany nomaaa,jaman ronadol na walinzi wake kwa kwa kwa kwa!!!!!!!!!!ila pale ureno kupenya ilikuwa kazi duuuu,ss kuchanganyikiwa au!!!pepe nae mapepe kama jina lake,du africa jana tutegemee nan?????
 
Back
Top Bottom