World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

mi bora niliamua kulala mapema tu,africa tuna safari ndefu sana yani tangu kuumbwa kwa dunia hatuja wahi hata kuvaa medal za mshindi wa pili kwenye wed kapu.daah poor africa.

Africa hatuwekezi chochote kwenye soka lkn tunapenda tupate matokeo mazuri!Algeria wanafaidika sana na hii sheria ya FIFA ya mchezaji kubadili nchi ya kuchezea!

Wengi Algerians wanachezea France;Belgium au Holland under 21 na 23 then wanakuja Algeria!Hawa jamaa ndiyo nawategemea mno sio hawa wengine manguvu tu
 
Game zilizobaki inatakiwa Ghana ishinde zoote mbili ndo ijihakikishie nafasi. niambia ghana itamfunga nani kati ya German na ureno?

Pamoja na kwamba Germany waliipiga Portugal lakini Portugal wakali sana aise hakuna mchezo. Ghana anaweza kuifunga Germany lakini si Portugal.
 
Pamoja na kwamba Germany waliipiga Portugal lakini Portugal wakali sana aise hakuna mchezo. Ghana anaweza kuifunga Germany lakini si Portugal.
ghana nje tu walienda kufanya fashion show tu..
 
foolish African now take alcohol
dark continent.
(''nywele fupi dalili ya akili ndogo , ngozi nyeusi dalili ya laana'' kabulu)
 
Ndo maana FIFA wanatupa nafasi chache,wanajua kabisa watapata hasara tu,kuliko timu hizi za Africa bora hata Sweden wangeenda.
 

Africa tutegemee tu The elephants!
 
leo aljeria sijui nao watatuzingua kama wenzake....!!
 
foolish African now take alcohol
dark continent.
(''nywele fupi dalili ya akili ndogo , ngozi nyeusi dalili ya laana'' kabulu)
Yaani hizi timu za Afrika kama taifa stars yetu tu.
 
Katavi hao stars wako afrika, kwa hiyo ni yaleyale. Jambo la muhimu ni kukaa mbali nao
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…