World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

mi bora niliamua kulala mapema tu,africa tuna safari ndefu sana yani tangu kuumbwa kwa dunia hatuja wahi hata kuvaa medal za mshindi wa pili kwenye wed kapu.daah poor africa.

Africa hatuwekezi chochote kwenye soka lkn tunapenda tupate matokeo mazuri!Algeria wanafaidika sana na hii sheria ya FIFA ya mchezaji kubadili nchi ya kuchezea!

Wengi Algerians wanachezea France;Belgium au Holland under 21 na 23 then wanakuja Algeria!Hawa jamaa ndiyo nawategemea mno sio hawa wengine manguvu tu
 
Game zilizobaki inatakiwa Ghana ishinde zoote mbili ndo ijihakikishie nafasi. niambia ghana itamfunga nani kati ya German na ureno?

Pamoja na kwamba Germany waliipiga Portugal lakini Portugal wakali sana aise hakuna mchezo. Ghana anaweza kuifunga Germany lakini si Portugal.
 
Pamoja na kwamba Germany waliipiga Portugal lakini Portugal wakali sana aise hakuna mchezo. Ghana anaweza kuifunga Germany lakini si Portugal.
ghana nje tu walienda kufanya fashion show tu..
 
foolish African now take alcohol
dark continent.
(''nywele fupi dalili ya akili ndogo , ngozi nyeusi dalili ya laana'' kabulu)
 
Ndo maana FIFA wanatupa nafasi chache,wanajua kabisa watapata hasara tu,kuliko timu hizi za Africa bora hata Sweden wangeenda.
 
Kijana muller,ozil,looooooo!!!!!!!! Ya jana yaache tu,bao 4 hivi hivi hawa vijana germany nomaaa,jaman ronadol na walinzi wake kwa kwa kwa kwa!!!!!!!!!!ila pale ureno kupenya ilikuwa kazi duuuu,ss kuchanganyikiwa au!!!pepe nae mapepe kama jina lake,du africa jana tutegemee nan?????

Africa tutegemee tu The elephants!
 
leo aljeria sijui nao watatuzingua kama wenzake....!!
 
Katavi hao stars wako afrika, kwa hiyo ni yaleyale. Jambo la muhimu ni kukaa mbali nao
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom