World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Ghana alikuwa na nafasi kumfunga USA but kwisha habari yake.
 
Pamoja na kwamba Germany waliipiga Portugal lakini Portugal wakali sana aise hakuna mchezo. Ghana anaweza kuifunga Germany lakini si Portugal.

Mkuu Ghana katoka,hapati hata point moja na wakifanya mchezo CR7 na Muller wanaweza wakaondoka na mipira yao baada ya hat trick!

Ghana hawana plan B wanajiendea tu mbele kama ndama na hawajui nani aingie nani atoke!Essien aliingia kufanya nn?
 
Boateng ndiye ameshuka kiwango, Essien hakuwa tu fiti kwa mechi ya leo. Asamoah Gyan umemtaja kwa kuwa amekujia tu mdomoni, alicheza kwa kiwango cha juu sana.

Sikumaanisha Gyan wa Bibi Kizee Cha Turin, bali Gyan Mwarabu aliyekimbia shuhuli pevu ya EPL.
 
Wazungu Bana..

Sasa hakuna hata timu moja iliyoingia uwanjani wameiweka Algeria namba mbili kwa nini? Kama ni alphabetically si ingekuwa namba moja?

[TABLE="class: table tbl-standings, width: 100%"]
GROUP H[TR]
[TH="class: tbl-teamname teamname-nolink"]TEAMS[/TH]
[TH="class: tbl-matchplayed, align: center"]MP[/TH]
[TH="class: tbl-win, align: center"]W[/TH]
[TH="class: tbl-draw, align: center"]D[/TH]
[TH="class: tbl-lost, align: center"]L[/TH]
[TH="class: tbl-goalfor, align: center"]GF[/TH]
[TH="class: tbl-goalagainst, align: center"]GA[/TH]
[TH="class: tbl-pts, align: center"]Pts[/TH]
[TH="class: tbl-expand, align: center"][/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tbl-teamname teamname-nolink"]
BELGIUM

[/TD]
[TD="class: tbl-matchplayed, align: center"]0[/TD]
[TD="class: tbl-win, align: center"]0[/TD]
[TD="class: tbl-draw, align: center"]0[/TD]
[TD="class: tbl-lost, align: center"]0[/TD]
[TD="class: tbl-goalfor, align: center"]0[/TD]
[TD="class: tbl-goalagainst, align: center"]0[/TD]
[TD="class: tbl-pts, align: center"]0[/TD]
[TD="class: tbl-expand, align: center"]http://www.fifa.com/worldcup/matches/round=255931/match=300186479/index.html#[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tbl-teamname teamname-nolink"]
ALGERIA

RUSSIA

KOREA REPUBLIC

[/TABLE]
 
Africa tutegemee tu The elephants!

Elephants watavuka kundi lao sababu ni kundi rahisi lkn sio team ya kuitegemea maana beki zao wanacheza kama mechi za kiinesi,nguvu nyingi akili ndogo!Kadi nyekundu nje nje

Ivory Coast hawezi mfunga team yyt ya America Kausini wala Ulaya!
 
Sikumaanisha Gyan wa Bibi Kizee Cha Turin, bali Gyan Mwarabu aliyekimbia shuhuli pevu ya EPL.

Nashawishika kukubaliana na Mphamvu kuwa huyo Gyan ulimuandika kwa sababu alikujia tu mdomoni, Juventus kuna Gyan? Inaonekana hujui unachokisema wewe, bora unyamaze tu
 
Last edited by a moderator:
Nashawishika kukubaliana na Mphamvu kuwa huyo Gyan ulimuandika kwa sababu alikujia tu mdomoni, Juventus kuna Gyan? Inaonekana hujui unachokisema wewe, bora unyamaze tu

Kwado Asamoah yupo Juventus ni tofauti kabisa na Asamoah Gyan aliyeko Uarabuni mweeh
 
Pamoja na kwamba Germany waliipiga Portugal lakini Portugal wakali sana aise hakuna mchezo. Ghana anaweza kuifunga Germany lakini si Portugal.

Germany hawana michezo ya kijinga ndio maana wakikuweka sawa wanakupiga hata 5 ghana amefanya kosa kubwa sana kufungwa mechi aliyotakiwa kushinda.
 
Wanajua ataishia nafasi ya pilis tu katika round hii.
 
leo aljeria sijui nao watatuzingua kama wenzake....!!

Timu zote za Africa viwango zinafanana zikikutana na Stars na wanyonge wengine wa Africa ndo zinaonyesha kiwango lakini kwenye mashindano makubwa zinaishia kuaibisha. Sitegemei chochote kutoka kwa Algeria.
 
raisi wa IRAN akiangali vijana wake wakicheza na nigeria

mtaaalamu mwingine wa kushangilia huyo hapo chini

mwingine huyu hapa

Watu mnajifanya wajuaji sana, mmekalia lawama tu na kupenda kuona/kusikia mnavyopendezwa navyo tu. Si kweli kuwa Ghana ni wabovu kiasi mnachokieleza wakati wamecheza mpira mzuri na kufungwa ni sehemu ya matokeo isitoshe hawakuzidiwa kimchezo bali kosa kutomkaba vizur yule mfungaji wa goli la pili la USA naye katumia huo mwanya kufunga. Mpaka sasa hivi hakuna timu toka Afrika iliyocheza kandanda murua kama Ghana. Vipi kuhusu Spain, Ureno mbona hamsemi zimepigwa kipigo cha mbwa mwizi. Acheni lawama zisizo na msingi.
 
Sikumaanisha Gyan wa Bibi Kizee Cha Turin, bali Gyan Mwarabu aliyekimbia shuhuli pevu ya EPL.

Hakuna Gyan Juve, kule kuna Kwadoh Asamoah. Mimi namaanisha Asamoah Gyan wa Al-Ain, anayevaa jezi no. 3
 
Hee leo BAK mechi ya pili nimepania lol nataka mexico warudi kwao wakale taccos. ...hii ya algeria ikinipita ubihadithie
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Yule "TURTLE" brazil kushinda mechi ya ufunguzi dhidi ya croatia leo ameleta machungu baaada ya kuitabiria mexico kushinda

video: brazil vs croatia

video: brazil vs mexico

Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…