palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,459
Wakati wa kupanga makundi kuna vitu vilizingatiwa, kulikuwa na kinara wa kundi ambazo ni timu 8 zilizoteuliwa kwa vigezo ambavyo FIFA wanavijua wao. Kisha kila timu iliyochaguliwa katika droo ilipachikwa katika kundi bila kujali orodha ya alfabeti au ubora wake mchezoni.
mkuu vigezo vinafahamika. timu nane huchanguliwa kutoka na FIFA world ranking ya oktoba kabla ya mashindano kuanza (http://en.wikipedia.org/wiki/2014_FIFA_World_Cup_seeding)
( yaani oktoba 2013 ndiyo iliyoamua nani anatakuwa kwenye 7 bora ukijumlisha na muandaaji kuwa 8). kinachofanyika ni kuangalia timu bora nane za kwanza ambazo zimefuzu katika fainali. Ingawa hapa chini unakuta brazil alikuwa namba 11 bado yeye alikuwa kinara wa kundi kwa vile ni muandaaaji wa mashindano. soma zaizi kwenye hii link FIFA World Cup 2014: Pre-Tournament Team Power Rankings | Bleacher Report
hapa chini ni FIFA Ranking October 2013 ambayio ndiyo iliamua nani atakuwa kinara kwenye makundi nane.
hao juu hapo ndiyo walikuwa vinara wa makundi