World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Belgium hawakjja na mashabiki maana wakishika mpira wanazomewa tu
 
Algeria wanacheza soka la uhakika ukilinganisha na Nigeria na Ghana
 
Hawa waarabu wamepata wapi mashabiki wote hao.
World cup 2010 ilikuwa inaboa sababu mashabiki hawakuwa wengi ila 2014 kama mashabiki hawana kazi wengi kweli uwanjani
 
Hadi sasa hakuna kipa amekuwa tested mipira inaishia kati kati ya uwanja
 
Kwa mashabiki walioko Brazil sidhani kama FIFA itakuja kosea kuleta kombe la dunia Africa.
Hawa watu waliandamana sana ila sasa kimyaaaaa
 
Back
Top Bottom