Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Belgium hawakjja na mashabiki maana wakishika mpira wanazomewa tu
Angalau hawa wanacheza
Belgium hawakjja na mashabiki maana wakishika mpira wanazomewa tu
Algeria wanacheza soka la uhakika ukilinganisha na Nigeria na Ghana
Yaweza kuwa..Tatizo la Ghana ni kocha, maarifa machache
Hawa waarabu wamepata wapi mashabiki wote hao.
World cup 2010 ilikuwa inaboa sababu mashabiki hawakuwa wengi ila 2014 kama mashabiki hawana kazi wengi kweli uwanjani
Utanuna mwisho wa mechi.Algeria ina black 1 kipa asa si bora niwe Belgium kwa akina lukaku, dembele, kompany