World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Leo watu wanaumbuka na majina yao makubwa mgongoni sijui watasingizia mashabiki walikuwa hawawashangilii
 
Hawa waarabu wamepata wapi mashabiki wote hao.
World cup 2010 ilikuwa inaboa sababu mashabiki hawakuwa wengi ila 2014 kama mashabiki hawana kazi wengi kweli uwanjani

ukiachilia mbali washabiki wanaosafiri...washabiki wengi ni wa ndani.
south africa population ni ndogo kuliko brazil
south africa wanapenda sana rugby then football na cricket
brazil mpira ni kama dini hawajui cha rugby wala cricket....wanaangalia timu
 
BqWHG5HCQAAKuZt.jpg
 
Mkuu Skype nipo......karata yangu ni kwa Mkoloni wetu
 
Last edited by a moderator:
Hebu niambie kiswahili cha haya maneno

Algeria wanajiita 'les verts' aka the greens au wa kijani. Tres bien ni very good na 'les gens' ni 'people' kama nimekosea unaruhusiwa kusahihisha.
 
Hadi sasa nimeridhika na kiwango cha Fox Desert maana kumzuia Belgium hadi sasa bila kukufunga siyo kazi ndogo!!
 
Algeria wanashambuliwa lakini tactacally wako displined,kitu ambacho team nyngi za africa hawana..wanacheza kama walivyo elekezwa na mwalimu..
 
Back
Top Bottom