HahaahhaaHivi hawa watu 2010 hawakufunga hata goal moja.
Yaani 28 years leo ndo wanafunga goal la kwanza
Mhhhhh!!!! Maybe, but I don't think so
Leo watu wanaumbuka na majina yao makubwa mgongoni sijui watasingizia mashabiki walikuwa hawawashangilii
Hawa waarabu wamepata wapi mashabiki wote hao.
World cup 2010 ilikuwa inaboa sababu mashabiki hawakuwa wengi ila 2014 kama mashabiki hawana kazi wengi kweli uwanjani
Go the greens go..! Tres bien les gens
Wewe kuwa mzalendo sambaza upendo kwa waafrica wenzako,au wewe mzungu?
Algeria ndiyo team ya kututoa aibu World Cup hii
Hadi hapa Algeria kajitahidi sana
Ya kwanza mechi gani?
Hebu niambie kiswahili cha haya maneno