World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Half time. Algeria wapo mbele kwa goli 1 kwa 0. Belgiam bado hawajaonyesha mpira wengi tuliotegemea kuona wakicheza. Kipindi cha pili sitegemei mabadiliko.
 
Mkuu Skype nipo......karata yangu ni kwa Mkoloni wetu

Mkoloni wetu alipata ushindi mnono jana na namwombea azidi kuchanja mbuga bila kumsahau Muafrika Muarabu ambaye naye anaonyesha kutupa burudani leo.
 
Last edited by a moderator:
Algeria wanajiita 'les verts' aka the greens au wa kijani. Tres bien ni very good na 'les gens' ni 'people' kama nimekosea unaruhusiwa kusahihisha.

Mkuu mimi si mjuzi wa lugha hiyo ila nilitaka tu kujua ulichokiandika ili ninufaike na bandiko lako. Asante.
 
Ingawa Algeria wanaongoza sifikiri kama tutatoka hapa, yaani naona dro kama ushindi vile. Kipindi cha pili kinaweza kutupata kiama, hawa jamaa wakigundua njia ya kupita kilio kitatuangukia.
 
Makamanda wote kwa pamoja tuishabikie Algeria kwa kuwa wametupa teknolojia ya gesi
 
Algeria ina beki nzuri sana na kipa mzuri sana lakini bahati mbaya haina foward wala viungo.
lakini angalau wanaonekana wanacheza kwa nidhamu kama walivyofundishwa tofauti na Nigeria.
 
Hivi Miroslav Klose hakufunga hat-trick wakati Germany walipowafunga Saudi Arabia 8-0?
Alifunga mkuu kwa style hii
The only players to have scored from three
headers in a single match are TomᚠSkuhravý
in 1990 and Miroslav Klose in 2002
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…