World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Goooo Felaini anaipatia ubelgiji bao la kusawazisha, algeria 1 - 1 belgium
 
Oya mbona mnatupoteza ah Uzi wetu upo wapi? Huyu Kipa wa Algeria hakuna kipa ni Mfano tu na yeye aitwe kipa.
 
Origi na Felaini wamebalidlisha upepo wa mchezo
 
Fellaini anachomoa
Belgiam 1 Tunisia 1
dakika ya 74
 
Nimeona umepigwa mstari kwenye maneno tatizo sijui nini dogo wa United hii game ingemfaa Algeria washachemsha kipa wao hakuna kitu pale.
 
Hata na mie nautafuta siuni....btw game nzuri

BAK utabir wangu game hii belgium 2 algeria 1
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Nadhani nikutokana na timu nyingi za afrika kutofanya vyema.
 
PLAN B imefanya kazi....aerial balls to FELLAINI zitaendelea hadi goli la pili lipatikane.
 
Nimeona umepigwa mstari kwenye maneno tatizo sijui nini dogo wa United hii game ingemfaa Algeria washachemsha kipa wao hakuna kitu pale.

Hebu nipe link yake hapa niuone mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…