World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

hasira za kufungwa Ghana Jana zimefanya ifungwe haya na Leo ndio watafunga sports zote za jamiiforum. Timu zetu. Africa sasa sijui tuhamie Ivory Coast soon nayo itatuumiza.
 
Gooooo ubelgiji wanajipatia bao la pili hapa daaaa!
Algeria 1 - 2 Belgium,
tunaendelea..
 
kweli ng'ombe wa masikini hazai, sasa hiki ni nini??
 
BqWWlJ0CAAEhmgI.jpg
 
Baada ya mods kuuondoa uzi wa WC sasa naomba tuhamie hapa tuendelee.... @Mods mkiurudisha ule uzi unganisheni na huu........
Wavute huku WaAfrica Wenzetu ah kipigo cha USA kimekuta rumu na Algeria nao wanatuzamisha dah Africa why?
 
gooooooo belgium wana score la pili.

Pengine uzi unafanyiwa marekebisho utarudishwa maana
Sioni sababu ya kuutoa maana wengine hatuwezi kukesha na kuangalia mpira bila huo uzi.
Cc Cookie Paw Invisible JamiiForums
.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom