World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

huyu FELLAINI msimu wetu kule man utd hajatusaidia hata chembe!!! leo anajidai kufunga na ahame msimu huu hatumtaki! kwanza mamluki huyu sio mu-algeria kweli huyu???
 
Afu nimeanza amini timu za Africa bana zinaridhika mapema sana
 
Jamani wenye mawasiliano ya karibu na mods nini kinaendelea kuhusu kupotea kwa uzi wetu?
 
Tuwekeeni kinachoendelea jamani wengine tunategemea hapa hapa mahali nilipo sina uwezo wa kuona WC.
 
Brazil aje anipe raha mie nilale vizuri maana hizi timu zingine kero kabisa
 
ah timu za Africa zinatukausha mdomo sijui tuanzishe kura za timu ambazo wa Africa tunataka ziende kombe la dunia grrrrrrrrr
 
Mods watuombe radhi!Uzi kama huu wa kujuzana kuhusu yanayotokea Brazil usichezewe hata kidogo siku ingine!Mm binafsi soka ndiyo starehe yangu kubwa!!

Naona wameurudisha tuendelee huko

kufuta uzi kama ule yataka moyo haswa, unaweza kupoteza baadhi ya washabiki wa JF.
 
Mkuu Invisible naomba uunganishe comments na nyuzi zote zilizoanzishwa baada ya uzi wa live updates kupotea

Tumeshapoteana tayari
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…