Unachosema ni kweli, Belgium ni moja ya timu nzito sana mwaka huu Algeria wamejitahidi. Kama hawafanya ubishoo Belgium watashangaza watu mwaka huu!Algeria wapo vyema lkn wamecheza na team nzuri sana!Belgium will go all the way to challenge for a title!Algeria itasonga mbele maana Russia wa kawaida tu!!
belgium 2- algeria 1
nilijua nimepigwa ban, kumbe wote hamkuuona uzi.
Na hapa Bado Taifa Stars nayo yataka kwenda huko WC sijui tutatoka wa ngapi
Kaka nilishangaa sana kwa uzi huu kupotea!Mods watuombe radhi
Spain + Portugal + Croatia = Taifa Starz
Duh ndugu mbona umetupatia uzito hivyo.
Hii timu yetu ya taifa na siasa za Wambura na TFF na Simba na Yanga kamwe hatuwezi hata onja harufu ya kufuzu kwenda kucheza WC
Kama arsenal maradhi ya moyo...
Tobaa wenyewe wapo nsije pugwa makonzi
Namaanisha magoli ya kufungwa sio ubora wa team