World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Mexico wanafanya makosa kutompanga chicharito.
 
Brazil wanasaka goli kwa udi na uvumba. Ma-trafficante wameziba ile kinoma.
 
Big Fill anatakiwa abadilike ktk kupanga Timu!

Mtu km Willian hii ndio mechi Yake!
 
mi ni mshabiki wa france.
ila kwa leo napenda brazil ishinde ingawa naona game tyt.
 
Back
Top Bottom