Sikutegemea kama hawa wauza unga wangehimili hadi sasa....
Dani alves katengeneza nywele kawa kama mzungu sijui anaogopa kurushiwa ndizi tena!!
angekuwa kipa mjinga mjinga angekuwa kaokota mara kibao mpira wavuni.
mexico watafungwa sasa hivi...........