Baba Kelvin
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 788
- 139
Brazil hii imejaa Watoto
Brazil ndio wameshinda......
mh hata wewe?
Full time brazil neal, mexico neal!!
Full time brazil neal, mexico neal!!
View attachment 165559presha dah!na ngoma imekuwa drooo
Man of the match lazima awe ni kipa wa Mexico
View attachment 165558wakati mchezo wa brazil na mexico unaendelea nje watu wanadhibitiwa na mabomu ya machozi
safi sana sasa kila mmoja asubiri mechi ya mwisho kupigana kufa na kupona kuvuka hatua hii maana wote wana point 4 kila mmoja