World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

kulaleki wabongo huwa mnasema mpira sio nguvu, angalieni misuli inavyowekwa katika hii mechi. Golikipa wa Mexico anazidi kuwaokoa, angekuwa yule wa Ivory Coast leo ingekuwa kumi
 
ImageUploadedByJamiiForums1403037720.921042.jpgwakati mchezo wa brazil na mexico unaendelea nje watu wanadhibitiwa na mabomu ya machozi
 
Leo Brazil hawako vizuri kabisa,,,,,

Anatakiwa kubadilika Huyu big Fill!

Ona sasa kachelewa sn kumuingiza Willian !

Maana km kungekua na Neymar, Willian Na Bernald na Jo pale mbele kungekua vzr!

Duh Huyu Kipa aje Chelsea!
 
Anatakiwa kubadilika Huyu big Fill!

Ona sasa kachelewa sn kumuingiza Willian !

Maana km kungekua na Neymar, Willian Na Bernald na Jo pale mbele kungekua vzr!

Duh Huyu Kipa aje Chelsea!
Ninyi kipa si mnaye yule wa atletico madrid.
 
Back
Top Bottom